Morogoro: Jeshi la polisi limemkamata Mabula Mabula
Polisi Mkoa wa Morogoro wamemkamata Mabula Mabula 'Six' mkazi wa mjini humo kwa tuhuma za wizi, ubakaji na kuwapiga picha za utupu wanawake kisha kuzisambaza mitandaoni.
Mtuhumiwa huyo amekiri makosa hayo na kumtaja Ramadhani Salumu kuwa hununua simu zake anazoiba.
No comments:
Post a Comment