Breaking news: Viongozi wa Chadema waliohudhuria kituo kikuu cha polisi wawekwa mahabusu
CHADEMA: Viongozi Wakuu wa Chama pamoja na Wabunge waliokuwa wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar wakitimiza masharti ya dhamana yao, wamewekwa mahabusu. Polisi hawajaeleza sababu ya kufanya hivyo. Mawakili wanashughulikia.
No comments:
Post a Comment