Tuesday, 27 March 2018
Breaking News: M/kiti wa Chadema pamoja na viongozi wengine
M/kiti Freeman Mbowe na wengine watano wa CHADEMA wamesomewa mashtaka 8 katika Mahakama ya Kisutu DSM leo ikiwemo kufanya maandamano ambapo katika harakati za polisi kuwatawanya wafuasi wa Chadema ilipelekea kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT, Akwilina Akwiline, ambaye uchunguzi wa kitabibu ulionesha alipigwa na kitu chenye ncha kali na chenye umbo la duara.
Mbowe anakabiliwa na mashtaka 7, kesi bado inaendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian...
Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian... : DAR: Mwandishi wa Gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa en...
No comments:
Post a Comment