Rais Kagame wa Rwanda na Rais Museveni wa Uganda wamekutana leo na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu ya Entebbe. Viongozi hao wakubaliana kuyafanyia kazi masuala yanayosababisha mgogoro baina ya nchi zao.
Uganda imekuwa ikiwakamata baadhi ya Wanyarwanda ikisema kuwa ni Majasusi
1 comment:
Nice work
Post a Comment