Sunday, 25 March 2018

Breaking News: Uteuzi wa Jokate watenguliwa

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ametangaza kutengua Uteuzi wa Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM Taifa, Jokate Mwegelo
Nafasi yake itajazwa baadaye.

No comments:

Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian...

Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian... : DAR: Mwandishi wa Gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa en...