Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Machi 25, 2018 eneo la Mparanga wilayani Mkuranga.
Kaimu kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Kibiti, Mohamed Likwata amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba majeruhi wote wamepelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
----
Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi. Avitaka vyombo vinavyoshughulikia usalama barabarani kuchunguza chanzo cha ajali na kuchukua hatua kali.
No comments:
Post a Comment