Thursday, 29 March 2018

BREAKING: Mahakama ya Kisutu imeridhia kutoa dhamana kwa viongozi 6 wa CHADEMA kwa masharti ya kusaini bondi ya 20miln kila mmoja. Wadhamini wao wanatakiwa kuwa na vitambulisho vinavyotambulika kisheria. Watuhumiwa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar kila siku ya Alhamisi.

Wednesday, 28 March 2018

Je, mnalikumbuka tukio la Nape kutishiwa kwa bastola??? Angalia video hizi mbili kisha zilinganishe.....

Tuesday, 27 March 2018

Uefa has announced new rules for next season's Champions League and Europa League. Here's what's changed: bbc.in/2GebAWb

Breaking News: M/kiti wa Chadema pamoja na viongozi wengine

M/kiti Freeman Mbowe na wengine watano wa CHADEMA wamesomewa mashtaka 8 katika Mahakama ya Kisutu DSM leo ikiwemo kufanya maandamano ambapo katika harakati za polisi kuwatawanya wafuasi wa Chadema ilipelekea kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT, Akwilina Akwiline, ambaye uchunguzi wa kitabibu ulionesha alipigwa na kitu chenye ncha kali na chenye umbo la duara. Mbowe anakabiliwa na mashtaka 7, kesi bado inaendelea

Breaking news: Viongozi wa Chadema waliohudhuria kituo kikuu cha polisi wawekwa mahabusu

CHADEMA: Viongozi Wakuu wa Chama pamoja na Wabunge waliokuwa wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar wakitimiza masharti ya dhamana yao, wamewekwa mahabusu. Polisi hawajaeleza sababu ya kufanya hivyo. Mawakili wanashughulikia.

Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian...

Habarika: Breaking News! Mwandishi wa gazeti la The Guardian... : DAR: Mwandishi wa Gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa en...